ORODHA YA WALIOCHAGULIWA NAFASI ZA URAIS VYAMA MBALI MBALI

 Wagombea wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Mutamwega Mgaiwa na Satia Bebwa wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kugombea nafasi za Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia.

                        


Wagombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba na Hamida Huweishi wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi za Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia.

              


Wagombea wa Chama cha Demokrasia Makini, Cecilia Mwanga na Tabu Juma wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi za Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia.

                  



Wagombea wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Yeremia Maganja na Khaji Hamis wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi za Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia.


                  

Wagombea wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Hashim Rungwe na Mohammed Masoud wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi za Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia.

                      

Wagombea wa Chama cha ACT WAZALENDO, Bernard Membe na Prof. Omar Hamad wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea nafasi za Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia.

              

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) haijawateua David Mwaijojele na Ally Juma wa Chama cha Kijamii (CCK) kugombea kiti cha Urais na Makamu wa Rais wa Tanzania, mtawalia, kutokana na kutokidhi vigezo.

              



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form