MSEMAJI WA UPINZANI APEWA SUMU

 Msemaji wa Upinzani nchini Urusi ameeleza kuwa mwanasiasa na mwanaharakati mashuhuri nchini humo, Alexei Navalny (pichani) amenyweshwa sumu iliyowekwa kwenye chai, na sasa yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kupoteza fahamu. 



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form