MAHONA ATEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA NRA

 Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, amemteua Leopold Mahona kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha NRA na Ally Hamis ameteuliwa kugombea Kiti cha Makamu wa Rais kupitia Chama hicho.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form