Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.
Tags
BREAKING NEWS