Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetipilia mbali pingamizi lililowekwa na Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu dhidi ya mgombea wa CCM, Dkt.MAGUFULI kuwa hakuambatanisha picha kwenye fomu ya uteuzi na hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliyowekwa na sheria.
Tags
UCHAGUZI