chelsea yakamilisha usajili wa ben chilwell kutoka leicester city - Chelsea imekamilisha usajili wa beki wa kushoto, Ben Chilwell (23) kutoka Leicester City kwa ada ya Paundi Milioni 50 - Ben amesaini mkataba wa miaka 5 na atalipwa Paundi 190,000 kwa wiki.
Tags
SPORTS