BANDARI YA BEIRUT YAFUNGULIWA

 Bandari ya Beirut imefunguliwa tena na kwa kuanza imeanza kupokea Meli zilzobeba misaada baada ya Bandari hiyo kulipuka na kusababisha vifo vya zaidi ya Watu 170, Maelfu ya Majeruhi na kuacha Raia wengi Lebanon bila makazi, hizi ni picha za muonekano mpya eneo hilo.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form