Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia Makini, Cecilia Augustino Mwanga, katika Ofisi za NEC, Dodoma leo, Kushoto ni Mgombea Mwenza,Tabu Mussa juma.
Tags
UCHAGUZI