Aliyekuwa mshambuliaji wa Rayon SC, Michael Sarpong (24) kutoka Ghana ameshawasili Jangwani, tayari kusajiliwa. Ikumbukwe, Aprili mwaka huu Sarpong Alifukuzwa na klabu yake ya Rayon Sports ya Rwanda kutokana na utovu wa nidhamu.
Tags
SPORTS