Basi la Kampuni ya Ally's linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limeteketea kwa moto eneo la Bahi Mkoani Dodoma. Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna vifo wala majeruhi.
Tags
BREAKING NEWS