DC Arusha, Kenani Kihongosi akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameongaoza wananchi wa Arusha kupokea treni ya kwanza ya mizigo ya majaribiio iliyowasili leo jijini Arusha. Aidha, wananchi wamepokea kwa furaha kubwa ujio wa treni hiyo wakimshukuru Rais JOHN POMBE MAGUFULI kwakuifufua.
Tags
BREAKING NEWS