MGOMBEA UDIWANI AFARIKI DUNIA

 TANZIA: 

Mgombea udiwani wa Kata ya Idodi mkoani Iringa, Ndg. Onesmo Mtatifikoro (CCM) amefariki muda dunia si mrefu katika hospitali ya Tosamaganga

Huyu ndiye Diwani mstaafu wa kata hiyo.

Marehemu aliugua ghafla na kukimbizwa katika hospitali hiyo usiku wa leo na kafariki mapema asuhuhi hii



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form