DOKTA SHIKA AFARIKI DUNIA

 Tanzia 

Dr. Luis Shika maarufu kama Mzee wa 900 itapendeza amefariki Duniani jana saa 4 asubuhi akiwa anauguzwa nyumbani kwa Kaka yake Joseph Kidola, Wilayani Magu, Mwanza, Kaka wa Marehemu amesema chanzo cha kifo chake ni figo kufeli “atazikwa kesho mchana hukuhuku Mwanza”




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form