BABA MZAZI WA MESSI AWASILI JIJINI MANCHESTER

 Inaripotiwa Baba Mzazi wa Messi amewasili jijini Manchester ilidaiwa ni kufanya mazingumzo na Man City juu ya uhamisho wa Messi anaeripotiwa kuvutiwa zaidi na Man City ili kuungana na kocha wake wa zamani Guardiola, kama ni kweli Messi anakwenda Man City.

#millardayoupdates



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form