"Morrison bado tunamtambua ni mchezaji wa timu yetu kutokana na kusaini naye mkataba Julai 14 kufuatia ule wa awali wa miezi sita tuliomsainisha Machi 20 kumalizika, bado ni mali yetu, hao Simba tunawaomba waje mezani wamnunue" Dkt. Mshindo Msolla, Mwenyekiti wa YOUNG AFRICAN.
Tags
SPORTS