RAIS TRUMP AWAONYA WAPINZANI

 Rais Donald Trump wa Marekani amewatahadharisha wanachama wenzake wa Republican kuwa wapinzani wao kutoka chama cha Democratic wanaweza kuiba kura katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Novemba,2020. Hadi sasa kwenye kura za maoni zinaonesha mgombea wa Democratic, Joe Biden anaongoza.




Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form