Kamati Kuu ya ACT Wazalendo imemteua Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la BWEGE kutetea kiti chake cha Ubunge Jimbo la Kilwa Kusini, Lindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oct 28, 2020, Bwege alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CUF (2015-2020) kabla ya kuhamia ACT.
Tags
UCHAGUZI