Wananchi wakiwa wamejipanga Barabarani ili kuupokea msafara wa Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe pamoja na mgombea mwenza wake, Profesa Omar Fakih Hamad Kisiwani Pemba leo.
Tags
UCHAGUZI