Waziri Dkt. Harrison Mwakyembe ameeleza kushangazwa sakata la mchezaji Bernard Morrison kuchukua zaidi ya siku moja muafaka kupatikani kwani mikataba iko wazi, na kuwa ni ishara ya uwepo wa tatizo katika usajili. Amesema jambo hilo likifika kwake atalimaliza ndani ya dakika 10.
Tags
SPORTS