Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama ametoa orodha ya nyimbo zake pendwa ambapo wimbo 'Smile' wa Wizkid kutoka Nigeria ni miongoni mwa nyimbo hizo 53. Nyimbo nyingine ni za Beyonce, Rihanna, Nas, J. Cole, Nina Simone na Frank Ocean.
Tags
MUSIC