Katika Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oct 28,2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia kwa Kamishina wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo ametaja idadi ya Wapiga Kura waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao ni zaidi ya Million 29.
Tags
UCHAGUZI