Mkuu wa mkoa wa Njombe Mhandisi Mwita Marwa Rubirya,amewaagiza wakala wa majengo Tanzania TBA mkoa wa Njombe kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi wa jengo la ofisi ya mkoa wa Njombe ndani ya siku 7 kabla serikali kulazimika kusitisha mkataba wao.
Tags
BREAKING NEWS