Ikiwa zimepita siku chache toka club ya FC Barcelona iondolewe katika michuano ya UEFA Champions League dhidi ya FC Bayern Munich kwa kipigo cha fedhea 8-2, leo wametangaza rasmi kumfuta kazi kocha wao mkuu Quique Setien baada ya kumvumilia kwa muda mrefu.
Tags
SPORTS