RAIS MAGUFULI KUKABIDHI MIKOBA LEO

 Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dk. John Magufuli, Leo Agost 17 anatarajia kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi katika Mkutano wa 40 wa SADC utakaofanyika kwa video kuanzia saa 5:00 asubuhi.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form