RAIS WA BELARUS AWAONYA WAANDAMANAJI

 “Mnasema kwamba uchaguzi haukuwa huru na wa haki, na sasa mnataka uchaguzi mwingine? Jibu langu ni hili, hakutakuwa na uchaguzi mwingine, labda mniue.” - Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko akiwajibu waandamanaji wanaomtaka ajiuzulu, baada ya kukaa madarakani kwa miaka 26.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form