Rais Trump na Familia yake wamefanya Ibada ya kuuga mwili wa Mdogo wake Trump, Robert Trump aliyefariki Dunia hivi karibuni akiwa na umri wa miaka 71, Ibada hiyo imefanyika Ikulu na kuhudhuriwa na Watu wachache wa Familia “Nakupenda Robert, Pumzika kwa Amani”.
Tags
BREAKING NEWS