MORRISON NI MALI HALALI YA SIMBA SC

 Mchezaji Bernard Morrison ameshinda kesi yake dhidi ya Klabu ya Yanga na ataendelea kuwa mchezaji halali wa Simba. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa kulikuwa na kasoro katika mkataba uliowasilishwa na Yanga kwa madai kuwa ni mkataba kati yake na Morrison.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form