Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Binilith Mahenge kwa Niaba ya Rais Dkt Magufuli amemkabidhi Meja Jenerali wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Charles Mbuge fedha Tsh. Milion 30 kutoka kwa wadau kwaajili ya ujenzi wa Msikiti Chamwino.
Tags
BREAKING NEWS