WAVUVI WATEKWA NYARA UGANDA

Wavuvi 10 wa Uganda wametekwa Magharibi mwa nchi hiyo katika Ziwa Edward na watu wenye silaha kutoka DR Congo. Mkuu wa Wilaya ya Rukungiri amesema wavuvi hao walitekwa mwishoni mwa juma lililopita na sasa wanaomba kiasi cha TZS 4 milioni za Uganda ili waweze kuachiwa huru.


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form