KAMPENI TOKOMEZA ZIRO YAZAA MATUNDA KISARAWE

 Baada ya matokeo ya form six kutoka mwaka huu na Wilaya nzima ya Kisarawe kuwa na zero moja tu, Division four mbili na ufaulu mkubwa, DC JOKATE MWENGELO amesema hayo ni matunda ya juhudi za Wilaya hiyo katika kuongeza ufaulu na kupunguza zero kupitia kampeni ya 'Tokomeza Zero'


Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form