Watu watatu wamefikishwa Mahakamani Kisutu wakikabiliwa na mashitaka 7 ikiwemo kushiriki vikao vya kutengeneza mikakati ya ugaidi, kukutwa na vilipuzi, silaha na sare za JWTZ, wote wamesomewa mashtaka yao leo Agosti 19.
Tags
BREAKING NEWS