“Nachukua kikapu hapa Kanisani ili tuchangie ujenzi wa Msikiti baadaye Baba Paroko atazipeleka kwa Sheikh ili Chamwino iwe ni ya Watu wa Ibada, tumejenga Kanisa Katoliki tunalizindua leo, tujenge Msikiti, kisha tutaendelea kujenga Makanisa ya Madhehebu mengine nk”.
"Nakuomba Baba Askofu kama utaniruhusu na kama sitokukwaza basi tutumie siku ya leo pia tuchange angalau tuanze kujenga Msikiti wa Ndugu zetu Waislamu ambao Msikiti wao kwa sasa ni mdogo nao wapo pale kwa ajili ya kumtukuza Mungu” - Rais Magufuli
Tags
BREAKING NEWS