DKT. MAGUFULIamemteua Balozi John Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Balozi Kijazi ni Katibu Mkuu Kiongozi. Uteuzi huo umeanza leo Agosti 21, 2020 na amechukua nafasi ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.
Tags
BREAKING NEWS