Aliyekuwa mchezaji wa timu ya YOUNG AFRICAN, amesaini mkataba mpya wa kuitumikia timu ya mabingwa wa VPL 2019/20 SIMBA SC, Yanga ilimsajili nyota huyo wa Ghana Januari mwaka huu akitokea Klabu ya DC Motema Pembe ya nchini DR Congo.
Tags
SPORTS