Tetemeko hilo la ukubwa wa Kipimo cha Ritcher 5.9 limetokea usiku huu Linaelezwa kuwa na Kitovu cha kina cha Km 12. Limekumba baadhi ya maeneo yakiwemo Ubungo, Kigamboni, Morocco, Mikocheni na Kimara.
Tags
BREAKING NEWS