Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kesho August 06,2020 sas 3: 00 asubuhi atachukua fomu ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) zilizopo Dodoma.
Tags
UCHAGUZI