WANANCHI WAANDAMANA KUIPINGA SERIKALI

 Raia wa Lebanon wameandamana kuipinga Serikali yao kwa madai ya uzembe uliosababisha mlipuko Bandari ya Beirut ulioua zaidi ya watu 150, hatua hii inakuja kufuatia Serikali kusema mlipuko huo umetokana na Tani 2,750 za kemikali ya ammonium nitrate zilizohifadhiwa Bandarini hapo.



Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form