MLIPUKO WALETA MAAFA

WATU ZAIDI YA 25 WAFARIKI  KATIKA MLIPUKO WA BEIRUT, LEBANON

Takriban watu 25 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 2,500 wamejeruhiwa katika mlipuko huo ambao chanzo hakijafahamika

Mlipuko huo umetokea katika eneo la bandari la Beirut

Waziri wa Afya, Hamad Hassan amesema Watu zaidi ya 50 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 2,750 wamejeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea eneo la bandari ya mji huo

Mlipuko huo pia umetuma mawimbi yaliyosababisha majengo mengi mbali na eneo la mlipuko, kutikisika, kuvunjika madirisha na milango










Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form