"Niwahikikishie Watanzania nina Afya nzuri kabisa na nitatimba Nchi nzima kutafuta Wadhamini, kivumbi chenyewe kitakapoanza tarehe 26 (kampeni) nawahakikishia Watanzania nitawafikia kote, uchaguzi huu ni wa kipekee sana, yajayo yanafurahisha sana" - BENARD MEMBE
Tags
UCHAGUZI