Jumla ya vyama vyenye usajili wa kudumu nchini ni 19 vinatarajiwa kuchuana kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ambapo nafasi mbalimbali za uogozi kitaifa zitakuwa zinawaniwa na makada wa vyama hivyo.
Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nafasi hizo ni za Urais, Ubunge na Udiwani.
Vyama vyenye usajili wa kudumu vinavyoruhusiwa kusimamisha wagombea wa nafasi nafasi mbalimbali ni
1. Chama cha Mapinduzi (CCM)
2. Chama cha Wananchi (CUF)
3. Alliance for Democratic Change (ADC)
4. ACT-Wazalendo
5. ADA-Tadea
6. Demokrasia-Makini
7. Democratic Party (DP)
8. Sauti ya Umma (SAU)
9. Chama cha UDP
10. Chama cha TLP
11. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
12. Alliance for African Farmers Party (AAFP)
13. Chama cha Kijamii (CCK)
14. National Reconstruction Alliance (NRA)
15. United People's Democratic Party (UDPD)
16. National League for Democracy (NLD)
17. Union for Multiparty Democracy (UMD)
18. NCCR-Mageuzi.
Tags
UCHAGUZI
