Waziri nchini UGANDA Haruna Kasolo amesema raia ambao ni masikini nchini humo wameamua kuwa hivyo na hawatokuwa matajiri kwa sababu serikali imefanya kila kitu kuhakikisha wanajikwamua dhidi ya umasikini. Ameongeza pia kuwa maisha ya anasa yanachangia raia hao kuwa masikini.