EBORA YALIPUKA NCHINI CONGO

Wizara ya Afya Congo, imesema Ebola imerudi tena na inasambaa kwa kasi, hii ni baada ya Wizara hiyo kutangaza kuwa Ebola imemalizika kabisa nchini humo wiki kadhaa zilizopita. “tangu June 02,2020 hadi sasa Watu 54 wameathirika na Ebola huku vifo vikifikia 22”

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form