Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria TZ Kulwa Mang'ana, amepata ajali katika eneo la Boman'gombe wilayani Hai, wakati akiwa njiani kuelekea Siha kwa lengo la kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia chama Cha mapinduzi (CCM)
ambapo baada ya ajali, aliahirisha nia yake hiyo.