SIMBA YAIBUKA KIFUA MBELE NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO
byomie digital-
Simba inaongoza kwa 3-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho - Goli la kwanza limefungwa na Gerson Fraga, la pili limefungwa na Clatous Chama huku goli la tatu likifungwa na Josee Miquisson