>> Soma zaidi>>>
RDkt. @MagufuliJP
amemteua Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Meneja wa Idara ya Sera za Kibajeti na Madeni wa Benki Kuu ya Tanzania. Dkt. Kazi anachukua nafasi ya Godfrey Idelphonce Mwambe

Tags
BREAKING NEWS