Rais wa Brazil Jair Bolsanaro ambaye yupo karantini takribani Wiki sasa baada ya kuthibitika ana virusi vya corona amesema anataka kufanya vipimo vingine mapema wiki hii kwakwa amechoka kujitenga. “naendelea vizuri, nimechoka kukaa karantini nataka kutoka" icon_updates