Dodoma FC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Daraja la 1, baada ya kuifunga Gwambina FC 1-0 katika fainali ya mashindano hayo iliyochezwa leo, Julai 18, 20 katika uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam. FT: Gwambina 0-1 Dodoma FC
52' Anwar Jabir akiifungia dodoma fc