TRUMP AWATAKA WAMAREKANI KUTEMBEA NA BARAKOA

Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa

Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000 vya COVID19 kwa siku ya Jumanne na kufanya kuwa na jumla ya vifo 144,953, nchi hiyo ina maambukizi 4,028,569

Hadi hivi sasa,CoronaVirus imeathiri watu 15,093,712 na kusababisha vifo 619,467. Marekani ni nchi iliyoathirika zaidi kwa ugonjwa huu hadi sasa

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form