Baadhi ya makaburi ya familia ya Mwendazake Rais Mstaafu Benjamin Mkapa yaliyopo nyumbani kwao kijijini Lupaso. Katika eneo hili ndipo mwili wa kiongozi huyo utakapozikwa. Baadhi ya makaburi yaliyopo hapa ni pamoja na kaburi la mamake, babake, kakake na mmoja wa machifu wa ukoo.