HATIMAE BARAZA LA SANAA LAFUTWA MACHOZI


Wizara ya Viwanda na Biashara imekabidhi kwa Wizara ya Habari hati na nyaraka mbalimbali za usimamizi wa Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt.
@MagufuliJP
 la kuihamisha taasisi hiyo ili kurahisisha usimamiaji wa kazi za sanaa nchini.

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post

Disqus Shortname

sigma2

Contact Form